Skip to main content

 

Kwa sasa EASTERN  AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY inahitaji wafanyakazi wenye WELEDIUZOEFU na UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi pamoja na sifa zifuatazo;-

  1. Awe raia wa Tanzania
  2. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45
  3. Awe mwaminifu, mchapa kazi na mwenye kujituma bila ya kusukumwa
  4. Awe na lugha nzuri na kushirikiana na watu vizuri
  5. Awe na afya iliyo bora
  6. Awe mbunifu na mchapakazi
  7. Awe na uwezo wa kushirikiana na watu vizuri
  8. Muombaji anatakiwa asiwe amewahi kufungwa au kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai mahakamani

Waombaji wote wa nafasi za kazi zifuatazo wanatakiwa kuwa na vigezo vya kazi husika wakizingatia vigezo vikuu vitatu vilivyotajwa hapo juu pamoja na sifa zake;-

Pump Attendant (Kuuza mafuta sheli)

Sifa na Majukumu
  • Kuza mafuta katika kituo cha kuuzia mafuta
  • Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
  • Nafasi chache kwa darasa la saba

Branch Manager, Petro station (Meneja wa sheli)

Location:
  • Dodoma
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Dar es salam
  • Arusha
  • Mtwara
  • Zanzibar
Sifa na Majukumu
  • Kusimamia shughuli za mauzo ya pumb
  • Kusimamia mauzo ya super market
  • Elimu ya kuanzia kidato cha nne
  • Kijana wakike na kiume

Marketing research

Sifa na majukumu
  • Jinsia zote, umri kuanzia miaka 18 hadi 45
  • Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
  • Mwenye certificate ya Marketing atapewa kupaumbele
  • Awe na uwezo wa kutumia smart phones/tablets 
Majukumu

  • Kusambaza vipeperushi vya kampuni
  • Kuitangaza kampuni kwa wateja
  • Kuchukua data za wateja pamoja na mawasiliano
  • Kupiga picha na kusave eneo alilotembelea

Cleaner (Usafi)

Sifa na majukumu
  • Usafi wa ofisini
  • Usafi wa maeneo ya kazi
  • Uzoefu usiopungua mwaka mmoja wa kazi ya usafi
  • Mbunifu na mchapakazi
  • Jinsia zote

Chef (Upishi)

Sifa na majukumu
  • Kupika chakula cha wafanyakazi
  • Uzoefu usiopungua mwaka mmoja
  • Mbunifu na mchapakazi
  • Wa kike na kiume

Accountant

Job Details:

Ideal candidate will manage all financial transactions and will be responsible for auditing financial documents and procedures, reconciling bank statements and calculating tax payments and returns. Ultimately, candidate will provide accurate quantitative information on financial position, cash flows etc while ensuring tax compliance.

Role:
  • Manage all accounting transactions
  • Prepare budget forecasts
  • Handle monthly, quarterly and annual closings
  • Reconcile accounts payable and receivable
  • Ensure timely bank payments
  • Compute taxes and prepare tax returns
  • Manage balance sheets and profit/loss statements
  • Report on the company’s financial health and liquidity
  • Reinforce financial data confidentiality and conduct database backups when necessary
  • Comply with financial policies and regulations
Requirements:
  • Degree in Accounting or Finance
  • Knowledge of computer skills
  • Knowledge of manual accounting
  • Ability to drive will be an added advantage

Driver (Madereva)

Sifa na Majukumu
  • Kuendesha magari makubwa ya mizigo
  • Kuendesha magari madogo ya mizigo
  • Kuendesha gari ya kutoa huduma kwa umma
  • Uwe na leseni  kati ya class C au D au E

Truck Assistant Driver (Utingo)

Sifa na Majukumu
  • Msaidizi wa dereva
  • Elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
  • Mchapakazi na mwaminifu 

Car Mechanic (Fundi gari)

Sifa na majukumu
  • Kufanya kazi kwenye gereji za kampuni
  • Kusafiri na magari
  • Awe amepata mafunzo ya ufundi kwenye vyuo vinavyotambulika

Store Keeper (Mtunza stoo)

Sifa na Majukumu
  • Kutunza stoo na vifaa
  • Kusimamia na kuratibu kazi za store
  • Kutunza taarifa za vifaa vinavyoingia na kutoka store
  • Elimu kuanzia kidato cha nne
  • Nafasi chache kwa darasa la saba

Security (Ulinzi)

Sifa na majukumu
  • Urefu wa futi 6 na kuendelea
  • Elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
  • Waliopitia mafunzo ya ulinzi, JKT au mgambo wana nafasi zaidi
  • Mchapakazi
  • Wa kike na kiume

Muuzaji Supermarket za Sheli

Sifa na Majukumu
  • Awe mtaalamu wa biashara
  • Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
  • Wenye certificate in business watapewa kipaumbele zaidi
  • Jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele.

Consultancy secretary

Sifa za muombaji
  • Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
  • Jinsia zote, wanawake watapewa kipaumbele
  • Wenye certificate in secretarial courses watapewa kipaumbele zaidi
  • Wenye certificate ya Computer applications, Ms word, Excel, Publisher and PowerPoint 
  • Sifa za muombaji kuanzia miaka 18 hadi 45
Location:
  • Dodoma
  • Dar es Salaam


Branch Manager, Sales

Location:
  • Dodoma
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Dar es salam
  • Arusha
  • Mtwara
  • Zanzibar
Duties and Responsibilities:
  • Oversee and manage all aspects of the business such as Accounting, HR, Sales and Operations
  • Developing and implementing sales plans and targets, ensuring they are met accordingly.
  • Drive sales team to meet individual targets for both liability & risk asset.
  • Segment the region for sales team to ensure better market penetration.         
  • Evaluate sales strategies for performance against objectives, and making necessary changes as required.
  • Identify, develop, and implement processes towards improving customer satisfaction, sales efficiency, etc.
  • Ensure and maintain business relationships, resolving customer problems as needed.
  • Ensure the sales teams have adequate skills and information to carry out their duties.
  • Assist in evaluating employee performance and providing feedback and coaching as needed.
  • Observing and recognizing employee achievements and encouraging excellence in the work environment
  • Providing necessary sales and operations reports to the head office when due.
  • Ensuring compliance with all applicable laws/regulations for the industry within state and country of branch location
  • Managing budgets, allocating branch funds, operations, and logistics and defining financial objectives.
Qualification and Experience:
  • Diploma or Bachelor’s Degree

Clearing and Fowarding Manager

Qualification and Experience:

  • Diploma or Bachelor’s Degree

Logistics Officer

Responsibilities:
  • Coordinates inputs with regards to supply chain management and service delivery from various sections within LD for the Director, LD, the DOS senior management, missions or member stated representatives through preparing briefing notes, talking points, reports, drafting note verbales, etc.
  • Prepares logistics and support plans, deployment timelines and budget requirements for planned or new peacekeeping missions.
  • Develops logistical plans for existing missions.
  • Develops contingency plans for drawdown and liquidation of missions.
  • Develops and implements methodologies and tools to enable effective execution of logistic plans.
  • Formulates mission specific Standard Operating Procedures.
  • Manages logistics operations including management of logistics assets, materiel, contracts and personnel.
  • Ensures timely, accountable and cost-effective delivery of peacekeeping cargoes and personnel.
  • Coordinates and provides logistics support to ongoing air, land, sea, or rail operations in a field mission.
  •  Ensures that logistics requirements take account of gender-specific needs.
  • Coordinates logistics activities with procurement, finance, human resources, policy and other substantive units.
  • Follows up on legal and financial aspects of the mission.
  • Develops and implements DOS logistics support policy, procedures and methodologies to the common benefit of all functional units.
  • Prepares reports on operational logistics issues.
  • Identifies plans and manages special logistics operations.
  • Ensures that accurate and complete accounting, reporting and internal control systems are functioning and that all relevant records are maintained.
  • Prepares contingency plans and logistics preparedness reviews.
  • Performs other related duties as required.
Qualification and Experience:
  • Diploma or Bachelor’s Degree
  • Progressively responsible experience in logistics, supply chain management operations or related area is required.
  • Experience working in commercial logistics is desirable.
  • Experience with coordinating inputs and preparing written communications regarding supply chain management is desirable.
Wage/Salary Info:
  • Kiwango cha chini cha mshahara kwa mwezi ni Tsh.400,000 na
  • Kiwango cha juu cha mshahara kwa mwezi ni Tsh.1,500,000

How to Apply?
Kutokana na athari za Covid-19 hivyo kwa sasa maombi yote yatatumwa online kwa njia ya mtandao kwa kujaza fomu maalumu ya maombi ya kazi.

Bonyeza 👉 >>> HAPA <<< 👈 kujaza fomu ya maombi

Zingatia – Muhimu:

  1. Watakaochaguliwa watapigiwa simu na ofisi kwa mchakato zaidi
  2. Epuka kutapeliwa fedha au kitu chochote cha thamani kwa ahadi ya kupata upendeleo wa ajira ndani ya EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY zaidi ya gharama ya fomu!
Application Closing Date:
29th July 2021

Employer Name:
EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY.

Contact Name:
HR Manager

Contact Phone:
☎️+255 (306) 521611

Contact Email:
✉️careers@easternafricageneral.com

Employer Location:
EASTERN AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY 
Head Quarters
P.O.Box 1909
Simiyu road
Sofia Building
Kisarawe,Pwani. 
Tanzania.

Comments