Posts

Image
    EASTERN  AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY ni kampuni inayohusika na uuzaji wa mafuta pamoja na usafirishaji wa mizigo tofauti yenye asili ya vimiminika (fluids) na mali yabisi (dry cargo),Biashara mbalimbali na consultants. Kwa sasa EASTERN  AFRICA GENERAL GROUP OF COMPANY inahitaji wafanyakazi wenye  WELEDI ,  UZOEFU  na  UADILIFU  wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi pamoja na sifa zifuatazo;- Awe raia wa Tanzania Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45 Awe mwaminifu, mchapa kazi na mwenye kujituma bila ya kusukumwa Awe na lugha nzuri na kushirikiana na watu vizuri Awe na afya iliyo bora Awe mbunifu na mchapakazi Awe na uwezo wa kushirikiana na watu vizuri Muombaji anatakiwa asiwe amewahi kufungwa au kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai mahakamani Waombaji wote wa nafasi za kazi zifuatazo wanatakiwa kuwa na vigezo vya kazi husika wakizingatia vigezo vikuu vitatu vilivyotajwa hapo juu pamoja na sifa za...